Nigerian Gospel

Gospel Songs

Bahati Bukuku – Waraka Wa Hamani (Esther)

on

<>

Waraka Wa Hamani (Esther) by Bahati Bukuku

’s a song by the African prolific music artist and talented singer “Bahati Bukuku“. This song is titled “Waraka Wa Hamani (Esther)”, as it was released alongside its video. You’ll also be blessed.

<>

Audio , Stream, Share, and stay graced

Recommended for You!!!   Lorens Salcedo – Abre Tu Boca y Adora

MORE BAHATI BUKUKU SONGS

Lyrics: Waraka Wa Hamani (Esther) by Bahati Bukuku

Waraka wa Amani
Uliowafanya wayahudi washindwe kula na kunywa wakati ule
Waraka wa Amani
Uliowafanya wayahudi washindwe kula na kunywa wakati ule
Waraka ulioandikwa wayahudi wauwawe
Waraka uliotangazwa Moldekai anyongwe
Waraka ulioandikwa wayahudi wauwawe
Waraka uliotangazwa Moldekai anyongwe
Esther akiwa kwenye nyumba ya kifalme, Esther akiwa ni Malkia
Ndipo Moldekai alirarua mavazi yake, alivaa mavazi ya magunia, ilionyesha ya kwamba anaomboleza
Akasimama mbele ya Malkia, akamwambia Esther mama naomba sikia
Ujue umekuja Esther kwa wakati huu, hakuna wakati mwingine waweza kutuokoa
Ujue umechaguliwa kuwa Malkia kwa wakati huu, hakuna wakati mwingine waweza kutuokoa
Esther kwa maombolezo, huku akisindikizwa na maombi ya wayahudi
Esther aha, alikwenda kwenye malango ya Kifalme kinyume cha taratibu
Esther aha, kwa kutangaziwa alikwenda ohh kinyume cha taratibu
Akamwambia eeeh Mfalme ukiona vyema aha waweza kuniruhusu niingie malangoni pako
Akamwambia eeeh Mfalme hee ukiona vyema waweza kuniruhusu niingie malangoni pako
Akamwambia eeeh Mfalme hee ukiona vyema waweza kuniruhusu niingie malangoni pako
Esther kwa maombolezo huku akisindikizwa na maombi ya wayahudi
Mfalme akasimama akamtazama Malkia, akachukua fimbo yake akamnyooshea
Akasema aah, ni nini haja ya moyo wako hata nusu ya ufalme wangu nitakupatia
Akasema aah, ni nini haja ya moyo wako hata nusu ya ufalme wangu nitakupatia
Esther aah kwa maombi ya wayahudi, aliweza aah kunyamaza kimya
Esther aah kwa maombi ya wayahudi, aliweza aah kunyamaza kimya
Akamwambia eeh Mfalme ukiona vema aah waweza kuniruhusu niandae karamu yangu
Akamwambia eeh Mfalme ukiona vema waweza kuniruhusu niandae mje na Amani
Akamwambia eeh Mfalme ukiona vema waweza kuniruhusu niandae karamu mje na Amani
Esther kwa maombolezo huku wayahudi wakiendelea na maombi
Oooh Amani kwa kusikia sauti ya Malkia akapata sifa
Ooh Amani kwa kusikia ombi la Malkia akajua amependelewa
Akamwabia eeh Mfalme ukiona vyema sasa nimeandaa meza karibu mgeni
Akamwabia eeh Mfalme ukiona vyema sasa nimeandaa meza mje na Amani
Mfalme akasimama akamtazama Malkia akauliza swali tena naomba sema tena
Mfalme akasimama akamtazama Malkia akamuuliza Esther tena naomba sema lolote
Esther kwa machozi akamwambia eeh baba yangu naomba sikia
Mimi na wayahudi wote tumetangaziwa kuuwawa, na huyu adui wangu mtesi naye ni Amani
Esther kwa machozi akamwambia eeh bwana wangu naomba sikia
Mimi na wayahudi wote tumetangaziwa kuuwawa, na huyu adui wangu mtesi naye ni Amani
Mfalme akasimama akamtazama Malkia
Kwa ghadhabu akageuka akamtazama Amani
Akasema aah mtoeni nje Amani tena mpigeni sanda nyeusi akafie huko
Akasema aah mtoeni nje Amani tena mpigeni sanda nyeusi akafie huko
Na mimi ninakuja kwako, kwako baba aah
Nikilibeba taifa langu pamoja na watu wako
Na mimi ninakuja kwako, kwako baba aah
Nikilibeba taifa langu pamoja na watu wako
Tazama adui yetu shetani anatupiga vita
Tazama huduma tulizo nazo zinavyogigwa vita
Lengo lake haribu vilivyo ndani yetu, lengo lake haribu ule mwili wa Yesu
Eeh Mungu wangu
Eeh Mungu wangu
Eeh Mungu wangu, eeeh Jehova
Eeh Elshaddai
Eeh Elshaddai
Eeh Elshaddai ooh Jireh
Eeh jehova shammah
Eeh Jehova
Eeh Jehova Jireh
Eeh Messiah
Naomba mtazame Amani wetu ni wapi alipo ooh
Naomba mtazame Amani wetu ni wapi alipo ooh
Anayechafua kanisa lako ni wapi alipo
Anayechafua kanisa lako ni wapi alipo
Eeh jehova shammah
Eeh Jehova
Eeh Jehova Jireh
Eeh Messiah
Eeh jehova shammah
Eeh Jehova
Eeh Jehova Jireh
Eeh Messiah
Wapo ma-Amani wengi sana baba katika makanisa
Wapo ma-Amani wengi sana katika makanisa
Wao ni kuharibu huduma zisiendelee mbele
Wao ni kuchafua wachungaji wasiendele mbele
Mtazame Amani wetu anayechafua huduma zetu
Mtazame Amani wetu anayechafua
Mtazame Amani wa sasa anayechafua habari zetu
Mtazame Amani wa sasa anayechafua
Eeh Jehova shammah
Eeh Jehova
Eeh Jehova Jireh
Eeh Messiah
Eeh eeh eeh jesus eeh jesus elshaddai eeh Messiah
Eeh Mungu wangu eeh Mungu wangu eeh Mungu eeh Mungu wangu eeh Messiah

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *